Trump ashambulia vyombo vya habari kufuatia picha za kuapishwa kwake

Siku moja baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuchukua hatamu y a uongozi wa taifa hilo, amelaamu baadhi ya vyombo vya habari kwa kueneza taarifa za uongo juu ya idadi ya watu waliyohudhuria sherehe ya kuapishwa kwake.

Sunday, May 14, 2017

Timu ya wasichana iliyoshinda ligi ya wavulana Hispania

Timu ya kandanda ya wasichana nchini uhispania imeibuka washindi katika ligi ya wanaume licha ya kutokuwepo uungwaji mkono kwa wanawake wacheza kandanda nchini humo. Timu hiyo ya AEM Lleida girls ishinda ligi ya pili ya wanaume kwa kushinda mechi 21 kat ya 22 ilizocheza. Mechi...

Jambazi wa kike auawa na polisi Nairobi

Mwanamke anayedaiwa kuwa jambazi sugu, ambaye amekuwa akipakia mtandaoni picha zake akiwa amejipodoa na kujipamba, ameuawa na polisi jijini Nairobi. Kijana huyo ambaye ametambuliwa kama Claire Mwaniki aliuawa na polisi alfajiri na mapema Jumatano katika mtaa wa kayole. Gazeti...

Korea Kaskazini yalifanyia jaribio kombora la masafa marefu

Kumekuwa na shutma kubwa kote duniani dhidi ya hatua ya hivi punde ya Korea Kaskazini, kufanyia majaribio yake zana za nuklia Marekani inataka vikwazo zaidi viongezewe taifa hilo huku Ikulu ya White House ikisema kuwa, Pyongyang imechwa kutekeleza upumbavu kwa muda mrefu. Rais...

Wednesday, April 12, 2017

Shambulio la Borussia Dortmund: Mshukiwa akamatwa

Maafisa wa polisi nchini UJerumani wanamzuilia mshukiwa mmoja anayehusishwa na itikadi kali za kiislamu kufuatia shambulio la bomu katika basi la timu ya Borussia Dortmund . Viongozi wa mashitaka pia wamesema kuwa vilipuzi vitatu vilikuwa vipande vya chuma. Maafisa wa polisi...

China na Marekani waitisha suluhisho la amani Korea kaskazini

Rais wa China Xi Jinping ameitisha suluhisho la amani kuhusu taharuki iliyotanda Korea kaskazini, katika maongeo ya simu baina ya rais wa Marekani na Donald Trump, vyombo vya habari China vimesema. Siku ya jumanne Trump aliandika kwenye mtandao wa kijamii tweeter kuwa Marekani...

Mwanamke ambaka dereva wa teksi Marekani

Mwanamke mmoja katika jimbo la Ohio nchini Marekani ameshtakiwa kwa kum'baka dereva mmoja wa teksi kwa kutumia kisu kabla ya yeye na mwanamume mwengine kumuibia kulingana na maafisa wa polisi. Brittany Carter mwenye umri wa miaka 23, anadaiwa kufanya tendo la ngono na dereva...

Msichana anayeugua ugonjwa wa kuzeeka afariki A. Kusini

Afrika Kusini inaomboleza kifo cha Ontlametse Phalatse, msichana wa umri wa miaka 18 ambaye alikuwa anaishi na ugojwa unaojulikana kama Progeria, ambayo ni hali ya kimaumbile isiyo ya kawaida ambayo husababisha mtu kuzeeka kwa haraka. Mwezi uliopita Ontlametse alisherehekea...

Wanasayansi wanasa picha ya nyota zilizogongana

Wanasayansi wamerekodi picha za kusisimua zinazoonyesha nyota mbili changa zikigongana na kuharibu mpangilio wao. Nyota hizo ambazo ziko kwenye mkusanyiko wa Orion ziligongana miaka 500 iliyopita na kusababisha vumbi na gesi nyingi kuingia kwenye anga yao. Wanasayansi wanasema...